Vifurushi na Bei
Chagua kifurushi kinachofaa tukio lako
Lipa kwa kila mwaliko tu — hakuna ada zilizofichwa. Jaribu bure kwa hadi wageni 10.
Basic
Kwa sherehe ndogo na rahisi
TSh 1,000/ mwaliko
Wageni 100TSh 100,000
- Mwaliko wa kidijitali
- Jina la mgeni kwenye mwaliko
- Kutuma kwa WhatsApp
- RSVP
- Link ya mwaliko
- Orodha ya wageni ya msingi
Inapendwa zaidi
Standard
Chaguo bora kwa harusi na sherehe nyingi
TSh 1,500/ mwaliko
Wageni 100TSh 150,000
Kila kitu cha Basic, pamoja na:
- QR code ya kila mgeni
- Uthibitisho wa wageni
- Ufuatiliaji wa RSVP
- Usimamizi wa orodha ya wageni
- Dashibodi ya tukio
- Check-in mlangoni
- Ripoti
Premium
Kwa matukio makubwa yanayohitaji kila kitu
TSh 2,000/ mwaliko
Wageni 100TSh 200,000
Kila kitu cha Standard, pamoja na:
- SMS kwa wageni
- Ujumbe wa WhatsApp
- Vikumbusho (reminders)
- Ufuatiliaji wa michango
- Ujumbe wa shukrani
- Ripoti za kina
- Msaada siku ya tukio
VIPOngea Nasi
Usimamizi Kamili wa Tukio
Sisi tunashughulikia kila kitu, wewe unafurahia sherehe. Bei inapangwa kulingana na ukubwa na mahitaji ya tukio lako, si idadi ya wageni pekee.
Kuanzia
TSh 500,000 – 1,500,000+
- Kila kitu cha Premium
- Meneja maalumu wa tukio
- Muundo wa mwaliko wa kipekee
- Timu ya check-in mlangoni
- Usimamizi kamili wa wageni na michango
- Msaada wa saa 24 hadi tukio liishe
